Search

531 results for Damian Masyenene :

  1. PRIME Staa Simba aanika mazito

    Lakini amekwenda mbali zaidi kwa kudai hata mazoezi ya Kocha Abelhak Benchikha yanatumia muda mrefu sana ambao unachosha wachezaji na akasisitiza pia kwa kipa Ayoub Lakred hana tatizo.

  2. PRIME Sunzu: Simba sajili hapa

    KIPIGO cha mabao 2-1 kutoka kwa watani wao, Yanga ni kama kimeiondoa Simba kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara na hesabu msimu huu kumalizika, lakini nyota wa zamani wa timu hiyo, Felix Sunzu...

  3. Singida FG, Mashujaa zagawana pointi Kirumba

    Mwanza. Timu za Singida Fountain Gate na Mashujaa FC zimegawana pointi leo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao umemalizika kwa suluhu (0-0) kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mchezo huo...

  4. Singida FG, Mashujaa vita ya matumaini

    KESHO Jumapili Singida Fountain Gate na Mashujaa FC zitakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu za matumaini ya kubaki Ligi Kuu Bara na kumaliza nafasi za juu kwenye msimamo zitakapokutana katika...

  5. Sunzu, Maftah watia neno Derby

    MASTAA wa zamani wa Simba na Yanga, Felix Sunzu na Amir Maftah wametofautiana mitazamo kuhusu mchezo wa dabi ya Kariakoo utakaochezwa Jumamosi ya Aprili 20 kuanzia saa 11 jioni kwenye Uwanja wa...

  6. Kumbe Julio hajamalizana na Singida FG

    Wakati uvumi wa Kocha Mkuu wa Singida Fountain Gate, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ wa kuachana na timu hiyo ukiendelea kuenea, uongozi wa timu hiyo umeibuka na kudai kwamba bado uko kwenye mazungumzo...

  7. Aziz Ki, Guede wamtisha kocha

    KOCHA Msaidizi wa Singida Fountain Gate, Ngawina Ngawina ameshtushwa na viwango vya wachezaji wa Yanga, Aziz KI na Joseph Guede kutokana na namna wanavyoendelea kuviboresha na kuwa wazuri zaidi...

  8. Sakata la Kakolanya liko hivi Singida FG

    BAADA ya taarifa za nahodha wa Singida Fountain Gate, Beno Kakolanya kutoweka kambini saa chache kabla ya mchezo dhidi ya Yanga katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, hatimaye uongozi wa...

  9. Yanga yakoleza mzuka wa Dabi, Guede awaka, Azizi Ki hakamatiki

    WAKATI Simba ikiianza wiki ya Dabi ya Kariakoo kinyonge baada ya sare ya 1-1 na Ihefu katika mechi ya jana, watani wao Yanga wameongeza mzuka baada ya jana kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya...

  10. Mvua yaleta wasiwasi mechi ya Singida FG na Yanga

    Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya kuanza kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Singida Fountain Gate na Yanga utakaoanza saa 10:00 jioni, mvua kubwa inaendelea kunyesha katika jijini la Mwanza na...

Page 1 of 54

Next